JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA GAME KATIKA COMPUTER YAKO
Habari wapendwa leo nimeamua kukuletea somo ambalo ungelipia katika blog nyingine na somo hilo ni Jinsi ya kutengeneza video game katika Computer yako.
Kabla ya kuendelea ningependa kutegua kitendawili ambacho wengi hamna majibu na ukimuuliza IT ambae yuko karibu na wewe. Na IT huyo hukupa jibu kuwa HAKUNA UWEZEKANO WA MTU MMOJA KUTENGENEZA GAME na wengi miongoni mwenu huvunyika moyo baada ya kusikia hivyo. Ila jibu sahihi ni ndio kwani mtu mmoja anaweza kutengeneza Game katika Computer yake.
Unajuwa miaka ya 90 hapa kuwa na uwezokano wa mtu mmoja kutengeneza Game lakini mtu mmoja alikuwa na uwezo wa kutengeneza Game.
Kwa nini mtu mmoja alikuwa na uwezo wa kutengeneza Game lakini peke yake alikuwa hawezi kutengeneza Game.
sababu ni kuwa zamani Designer wa model na Sprite walikuwa wachache kwahio kama ulikuwa unataka kutengeneza Game kwa wakati ule ilikuwa inakulazimu kumuajiri Designer huyo.
Lakini kwa sasa ni tofauti kwani Designer wa Sprite na models wako wengi na wengi wao hutengeneza Sprite na Model na kuziuza na wengine huzitoa bure Bofya hapa ili ku-download Sprite na model Bure. Hivyo basi ili uamini kuwa mtu mmoja anaweza kutengeneza Game endelea kusoma Makala hii au jiunge na Chuo chetu ili uweze kujifunza zaidi.
Na sababu nyingine ni kuwa program za kutengeneza Game ziliuzwa kwa bei kali zaidi kwahio mtu binafsi hakuwa na uwezo wa kumudu bei hio labda kwa makampuni pekee ndiyo yalikuwa na uwezo wa kumudu bei hiyo. Lakini kwa sasa program hizo huuzwa kwa bei nafuu na imani kuwa kila mtu anaweza kumudu bei hiyo na program nyingine unaweza kuzipata bure.
Kumbuka sio kila IT anaweza kutengeneza Game. Kwani Game Maker ni Course inayo jitegemea kama zilivyo kozi zingine na kwa Tanzania Course hii imeanza Kutolewa mwaka 2012 kwahio wajuzi ni wachache.
Kwani hata katika Chuo ninacho fundisha fani hii ya Game maker. Mlimani training College. tumeanza kuitoa mwaka 2014. Kwahio na maana kuwa IT wa Tanzania kuwanzia miaka ya 90 mpaka 2012 hawakuwa na ujuzi huo ndio maana walikuwa hawana uwezo wa kujibu Swali hilo. Kwani mpaka sasa vyuo vinavyo toa course hii ya GAME MAKER ni vyuo 6 tu hapa Tanzania kikiwemo chuo Cha Mlimani training College.
Kwahio ili uweze kutengeneza Game lazima ujue mambo yafuatayo
1 lazima uwe na Program ambayo itakuwezesha kutengeneza Game Yako.
Kuna program nyingi ambazo hutumika kutengeneza Game kwahio nitakufahamisha Programu 5 ambazo ni rahisi kutengeneza Game na Program hizo ni.
5. SOUCE ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program hii Tuwasiliane.
4. FROSBITE ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program hii Tuwasiliane.
3. CRYENGINE ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program hii Tuwasiliane.
2. UNREAL ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program hii Tuwasiliane.
1. UNITY3D ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program hii ya Unity3D kuanzia Unity3D 4.3 mpaka 5.6 Tuwasiliane.
Baada ya kuziona Programu hizo sasa tunatakiwa ni kuchagua Programu moja kati ya hizo. Mimi nime chagua Unity3D kwani ndio program Bora Zaidi duniani na ndio Programu ambayo inatumiwa na watu wengi Duniani. Kama unataka CD Original ya Unity3D 4.3 mpaka 5.6 tuwasiliane kupitia namba yangu 0718553004 au Email Msafiryo01@gmail.com kwani utapata CD yako original ambayo itakuwa na asset zote .
Baada ya kuchagua Unity3D kama programu ambayo tutakayo itumia kutengeneza Gamu yetu. kwanza ili tuweze kutengeneza kitu chochote katika Computer lazima tuijuwe program husika 50% hadi 80% hivyo hivyo kwa Unity3D itatulazimu tuijua 80% ili tuwe na ujuzi nayo.
Kwaho baada ya ku-Install programu yako ifungue na Itaonekana kama katika picha hapo chini.
Muonekano huu ni kwa Unity3D 5.1
Baada ya kuchunguza picha yetu hapo juu tumeona program yetu imegawanyika katika sehemu tofauti tofauti na ndizo sehemu ambazo tutaziangalia kwa undani zaidi. Sehemu hizo ni Inspector window, Hierarchy window, project window, Scene View, Main Menu na ToolBar.
MAIN MENU
The Main Menu is the menu at the top of the application window. It is organized into a logical set of “tasks” that you would need to access while you work on the project.
Hierarchy window ukuruhusu kuangalia na ku-edit vitu vyote katika selected object. Kwa sababu tofauti ya objects ni kuwa na Set tofauti.
Kama utachunguza kwa umakini katika Inspector window utaona kitu kinachoitwaTransform na wengi huuliza mashali mengi na kama hauta ni elewa vizuri katika kipengele hiki basi hatuta elewana mbele ya safari kwani ili tu-Move Object yetu ni lazima tutumie Transform.
Transform ndio main Edit katika Unity3D kwani huwezi ku-edit Object yeyote bila ya kuiusisha transfom kupitia Transform Tool. Na Transform ni kama inavyo onekana katika picha hapo chini.
Transform imegawanyika katika sehemu kuu Tatu. Vector, Velocity na Translate
VECTOR
Vector ina maana ya namba ambazo zinapatikana katika Transform.
Mfano wa Vector
Position (0, 0, 0)
Rotation (0, 0, 0)
Scale (1, 1, 1)
Vector imegawanyika katika Sehemu kuu 4 nazo ni Vector, Vector 2, Vector 3 na Vector 4.
nikisema vector na maana ya namba ambazo zinapatikana katika Transform. mfano kuna sufuri tatu yaani 0, 0, 0 katika Transfom yetu. Hivyo basi kila sufuri moja ina maana ya Vector. Hivyo kila sufuri ni vector. kwahio nikisema Vector 1 na maana ya sufuri moja miongoni mwa sufuri Tatu. kwahio Vector 2 ni sufuri Mbili na nikisema Vector 3 Na maana ya sufuri Tatu hivyo hivyo kwa Vector 4 japokuwa Vector 4 katika Unity3D ni Useless.
VELOCITY
Velocity ina maana ya x, y, z nayo piya hupatikana katika Transform. Kwahio kila herufi ina maana yake.
Alama X inawakilisha Horizonal . Na alama Y inamaana ya Vertical na herufi Z inamaana ya forward.
Mfano - 1
Velocity.y mfano huu unamaana ya kuwa move object yako vertical.
Velocity.x mfano huu unamaana ya kuwa move object yako Horizonal.
Mfano - 2
Position (X, Y, Z)
Rotation (X, Y, Z)
Scale (X, Y, Z)
TRANSLATE
Translate na maana ya Gizmo kama unavyo iona katika picha hapo juu.
TOOLBAR
Kama utachunguza katika picha ya Toolbar hapo juu utagungua imegawanyika katika sehemu kuu 5 nazo ni Transform Tools, Gizmo Tools, Game Player Contols, Layer Visibility na Layerout.
Heirarchy window Huwakilisha kila object katika Scene
PROJECT WINDOW
Project window huonyesha Library ya Asset ambayo hupatikana na kutumika katika Project yako
SCENE VIEW
The Scene View hukuruhusu kuona na kuhariri Scene yako.
Swala linguine la ulazima kujuwa ili uweze kutengeneza game ni
2. Game Maker
Game maker ni kipengele muhimu kwani ndio kipengele ambacho hukufundisha jinsi ya kutengeneza game lako mwenyewe. Na kipengele hichi cha Game maker kimegawachika katika sehemu mbalimbali nazo ni
Player movement all Direction, Horizontal, Vertical, Jumping and Double Jump
Enemy movement and Patrol
Player Shooting
Enemy Healthy
Enemy Shooting
Player Healthy
Score when Kill Enemy.
Particle
Enemy Flying
Moving Platform
Push Platform
Projecte
Time
Menu
Level Select
Pallarix
Camera Controller
Coin Rotate and Pick Up
Door
Check point
Respawner
Wall climb
Tuishie hapo kwani orodha ni ndefu zaidi tutaona zaidi katika videos nitakazo kuandalia juma lijalo unacho takiwa ni kuwa Update na blog hii ili usipitwe na uhondo huu. Kumbuka orodha Hii ni kwa Game za Shooting tu.
Na orodha ya Game za RACE na maanisha CAR Race ni
1. Car movement.
2. Car boarder.
3. Add Enemy Car.
4. Enemy Car movement.
5. Enemy Car Spawner Position.
6. End Point Enemy.
7. Effect and Animation.
8. Car Enemy Dead.
9. Next Level.
Navitu vya ziada ni kama Animal movement, Animation, Attack na Patrol.
3. Animation.
Huu ndio ukurasa muhimu katika fani hii kwani kama haujui ku-Animation Object yako Basi object hio itakosa mvuto.
4. Game Designer.
Game hukosa mvuto kabisa kama uta-Design vibaya Game yako kwani mvuto wa Game uko katika Designer kwahio kuwa makini wakati wa ku-Design game yako.
Hapo nazani utakuwa umekwisha pata program Skill ya kutosha sasa Kuwa Update na Blog hii ili usipitwe na uhondo huu.
MASOMO YAFUATAYO NI
JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA GAME BILA YA KUJUA LUGHA YA COMPUTER.
JIFUNZE LUGHA YA COMPUTER.
JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA APPLICATION.
ART KATIKA MODEL NA SPRITE DESIGNER.
NA MENG
MASOMO HAYA YATALETWA KWENU NAMI MWALIMU MSAFIRY_OM NA YAKIZAMINIWA NA MLIMANI TRAINING COLLEGE ILIYOPO MKOANI KIGOMA. NA KAMA UTAITAJI KUPATA CHETI CHA GAME DEVELOPER BASI JIUNGE NA CHUO CHETU. wahi mapema kwani nafasi ni chache. Wasiliana na mkuu wa chuo kwa email mlimaniCole@gmail.com
0 Comments