Advertisment

Namna ya kuweka install windows kwenye computer yak

Namna ya kuweka install windows kweny computer yako

Kama wewe ni mtumiaji wa computer, jinsi ya kuweka (install windows) kwenye computer yako ni kitu cha muhimu sana ambacho unatakiwa uwe unakifahamu hadi sasa. Kwa ni hii itakusaidia kuepuka kutoa fedha zako kwa ajili ya kuwekewa Windows kila siku. Junsi ya kuweka Windows nimeelekeza katika video hapo chini. Angalia video ili kuweza kufahamu jinsi ya kuweka window kwenye computer yako.

Nimeigawanya video katika hatua 15 za muhimu ambazo ni rahisi kuzifuata na zinaeleweka hata kama ndoyo mara yako ya kwanza kuaza kuweka windows au Operating System, ukifuata video hii utakua mjuzi na huwezi kusumbuka tena kwa kutoa pesa zako.

windowAll
Jinsi Ya Kuweka Window kwenye computer

Nawezaje Sasa Kuweka Window kwenye Computer?
1. Hakikisha una CD au flash yenye Operating system (Window) unayotaka kuweka.
2. Weka flash au CD yako kwenye Computer kisha izime Computer na uiwashe tena. Ikiwa inawaka bonyeza F12 kufanya booting kupitia flash au CD uliyoweka.
3. Subiri kwa muda kidogo mafile yaweze kusomwa.
4. Chagua nchi, Lugha na aina ya keyboard ambayo unataka kutumia.
5. Anza installation.
6. Chagua window ambayo inaendana na muundo wa computer yako. Mfano: kama computer yako ni 32bit basi chagua x86 window au kama ni 64bit basi chagua x64 operating system (Window).
7. Chagua aina ya installation, hapa chagua customize kama ndo unaanza kuinstall kwa mara ya kwanza au unafanya marekebisho.
8. Chagua memory kwa ajili ya installation. Ni visuri kuweza kutengeneza partition kupata memory kwa ajili ya data na nyingine kwa ajili ya operating system (Window).
9. Computer itajizima na kujiwasha ila usifanye chochote.
10. Fanya setting za muhimu, kama Passworduser namemuda uliopo.

Tayari kwa matumizi, Weka software muhimu kulingana na matumizi yako.




Post a Comment

0 Comments