Kuna Msemo unasema "KAMA USIPOTAFUTA NJIA YA KUKUINGIZIA PESA UKIWA UMELALA, BASI UTAFANYA KAZI HADI UNAKUFA." ni nini maana ya msemo huu??
kuna mambo ambayo
unaweza kuyafanya na yakakuingizia kipato ambacho kitadumu mpaka kurithiwa ni
tofauti na mtu ambae anafanya kazi kila siku,
Leo tuongelee app ya MOVIES kua ni jinsi gan inaweza
ikakulipa, mfano mzuri karibu kila mtu anajua Apps za movies kama vile NETFLIX n.k hivyo
basi hata wewe unaweza
kumiliki App kama hiyo na ukapata faida either kupitia matangazo or kuuza
movies katika app yako, Unaweza ukamiliki App
yako na ukaiweka katika
digital shops kama vile Playstore or
Apple store na watumiaji wakaipakua
App hiyo na kupata movies kumbuka kuna apps
nyingi za aina hiyo
hivyo basi inatakiwa uwe mbunifu zaidi katika utengenezaji wa program yako ili
uweze kuweka utofauti kati ya program yako
na program nyingine.
Mfano Netflix wao ada
ya kuangalia movies kwa mwezi ni kama 15$
ambayo ni zaidi ya 35,000Tz shillings
kwa mwezi, hivyo wewe unaweza ukaweka
utofauti katika App
yako na netflix tufanye wewe utaweka ada ya 5$ kwa mwezi ambayo ni karibu 10,000Tz
kwa mwezi pia nawe unaweka utaweka movies
nzuri na kali ambazo
zitashawishi watu kuangalia na kudowanload kupititia program yako. Pia unaweza
weka na Google/Facebook Ads ambazo
pia
zitakuingizia kipato
kikubwa tokana na watumiaji wa hyo program yako, nafikiri nishawahi kueleza ni
namna gani ads zinalipa hivyo basi baada
ya kumiliki program
yako kifuatacho ni kuhakikisha unapata soko na kuitangaza program yako maana
utapokea pesa nzuri pale ambapo utakua na
watumiaji wengi katika
app yako
Hebu
tujaribu kuchanganua unawezaje kumiliki program yako na na jinsi gani utapata
faida.
1. Kutengeneza App/program.
Kutengeneza program kama una knowledge ya utengenezaji basi haitokusumbua pia
hautogharamia ila kama hujui namna ya kutengeneza basi itakubidi umuajiri mtu
na aweze kukutengenzea itakubidi uandae budget kwa ajili ya kutengenezewa hiyo
Program,
Pia kumbuka sio mmiliki
wa program aliitengeneza yeye, HAPANA
wengi wanaomiliki Apps huajiri watu na kutengeneza program hizo kutokana na
mawazo yao, mfano wewe una wazo la kitu Fulani basi unaweza ukanieleza hilo
wazo lako na kuniajiri kwa kuitengeneza program hiyo.
Kwa haraka haraka
gharama za kudevelop app ya movies sio chini ya 300,000 pia unaweza kupata
punguzo kama utaongea na mtengenezaji. Tunaweza kukupa app kama hiyo kwa bei
isiyopungua 150,000Tz.
2.
Uendeshaji
wa Program.
Katika hatua hii unakua
ushamaliza kutengeneza/Kutengenezewa na tayari unakua na files zote kama vile APK na web na Admin panel(kwa ajili
ya mmliki or kampuni) pia katika hatua hii itahitajika uwe na mambo yafuatayo
·
Domain name
·
Server
·
Google play console account / Apple
account (si lazima)
Katika hatua hii basi
utalaimika kuwepo na mambo hayo niliyokwisha kuyaeleza, je yanatumikaje
Tuanze na Domain hii ni jina unique la website
yako mfano utaiita www.movee.com au www.movflix.com n.k hili jina litatumika
katika website yako na mtu akilitafuta tu kwenye browser basi itakuja hiyo
website yako na jina hili hulipiwa kwa mwaka ambapo huanzia 9-12$ pia kuna domain
za kitanzania kama www.movee.ac.tz au www.movflix.co.tz hizi ni 24,000Tz mpaka
25,000Tz kwa mwaka.
SERVER
hii
ni system ambayo ndio itaweza kumantain na kufanya program yako ionekane
online(hosting) pia ndio itakayohifadhi taarifa na movies zote huduma hii
hulipiwa kwa mwez kuanzia 4.0$ na kuendelea ambapo kwa mwaka ni 48$ sawa na 111,000. japo
zipo za bure ila sever hizo za bure huwa na changamoto nyingi na kuna settings
kadhaa ambazo utazikosa katika server hizo za bure.
Google
play console account/Apple account hii ni account ya
google playstore ambayo itakuwezesha kupublish or kuweka apps zako google playstore
na watu ndio waweze kuzidowanload account hii hulipiwa mara moja tu 25$ sawa na
karibu 55,000Tzsh sijajua ya Apple ni bei gani ila haipungui 30$
Lakini account hii sio
lazima maana unaweza kuweka app yako katika account ya mtu mwingine na ukamlipa
kidogo mfano katika account yetu ni 10,000 tu lifetime. Lakini pia kuna store
nyingine nyingi za bure ambazo unaweza kuweka app yako mfano wa store hizo ni
kama vile APKPURE, APTOIDE n.k
Admin
Panell, huu ni upande utakaomuwezesha mmiliki au kampuni
kuweka movies na setting nyingine nyingi
3. Utangazaji wa program/ Marketing.
Katika hatua hii
hutotumia pesa nyingi kama wewe ni mzuri katika matangazo mfano unaweza
kuitangaza kupitia social medias kama facebook,Instagram n.k ila itakubidi utoe
pesa kama utataka kutangaziwa na mtu au kampuni za matangazo mfano kutangaza
kupitia Facebook Ads(haya ni yale matangazo ambayo huwa mnayaona facebook
huonekana dunia nzima or sehemu ambayo wewe utahitaji yaonekane mfano Tanzania tu
or Africa tu n.k facebook ads huanzia 5$ kwa siku inamaana kwa wiki ni 35$ sawa
na kama 80,000Tzshillings pia unaweza
kutangaza google na huko ndio yataonekana sehem nyingi kama vile kwenye Apps za watu,youtube,websites na software
nyinginezo za google.
Jumla ya gharama katika
utengenezaji mpaka inafanya kazi ni karibu
400,000
Utengenezaji kwetu
jumla ni 150-200,000 (mwaka 1 domain
buree + sever miezi 3 buree) baada ya hapo utalipia mwenyew hela ya domain
kwa mwaka na server kwa mwaka.
Jumla ya uendeshaji kwa
mwaka ni karibu 130,000 tu.
TANGAZOOOOOOOOOO TANGAZOOOOOOOOOO TANGAZOOOOOOOOOO
MAISHA NI AFYA!!! Jipatie virutubishe
asili na visivyo na kemikali ni salama kwa matumizi ya afya yako, vinasaidia
kutatua matatizo kama VIDONDA VYA TUMBO,MATATIZO YA
UZAZI, MAUMIVU YA VIUNGO, KUPUNGUA AU KUONGEZA UZITO n.k
TUPIGIE SIMU
+255627183795 Facebook
@fadhila na afya yako Instagram @fadhila na
afya yako
SASA
TUANGALIE FAIDA YAKO KWA MWAKA
Baada ya kuona gharama hizo kwa mwaka je ni faida
gani utakayoitengeneza wewe kwa mwezi
Hebu tufanye
una watumiaji 100 tu ambao account
zao zinakua active na wanaweza kuangalia na kudowanload movie ambapo gharama ya
account kwa mwezi ni kuanzia 5,000 tu na 60,000 kwa mwaka hivyo basi tufanye
wanalipia kwa mwezi kila user ni 5,000 na una watumiaji 100 hivyo basi fanya 5000x100= 500,000 kwa mwezi mmoja Hebu fikiria kila mtu akalipia kwa mwaka
account yake ambapo kwa mwaka fanya 50,000 tu. 100x50,000=5,000,000.
Inamaana
kwa mwezi kwa watumiaji 100 utavuna 500,000TZsh
Kwa
mwaka watumiaji 100 utavuna 5,000,000
-
Toa uendeshaji kwa mwaka tufanye 300,000
-
Faida
kwa mwaka ni takriban 4.7M
Pia tukumbuke faida hiyo ni upande wa account tu na
hatujaongelea upande wa matangazo.
Nimalize kwa kusema kua sio kila mmiliki wa app anapata faida kuna wengine wanafanya free
hakuna faida wanayopata japo wengi tunatarajia faida ila tunafeli kwenye suala
la marketing, marketing ndio kila kitu katika biashara ya software.
Kitu kingine ni
Ubunifu, kuwekeza muda wako katika program zako na kua serious na kazi.
Maswali?
Kwa swali or ushauri wowote tutumie barua pepe
-
Blmcompany20@gmail.com (company mail)
ppphone +255 626 653 295
-
3 Comments
kwa swali lolote tuma barua pepe- blmcompany20@gmail.com
ReplyDeleteHabari mpendwa,
ReplyDeleteKwa majina naitwa dotto msigwa ninahtaji kutengeneza app lakini nashindwa naomba msaada kwa hilo.
call us 0626653295
Delete