Advertisment

Tengeneza investment website/App na upate pesa. No.1

 Leo tuje na idea nyingine ambayo itakuwezesha wewe kama kijana kujiajiri na pia kusaidia vijana wenzako kujikwamua kimaisha na kupata pesa kupitia mfumo wako wa investment. labda nitolee ufafanuzi kidogo kuhusu mfumo huu wa investment unavyofanya kazi na unavyoweza kukuingizia faida wewe kama mmiliki na pia kusaidia vijana wengine.

Nafikiri hata wewe si mgeni sana katika zile website ambazo unaambiwa labda Angalia video,matangazo, or survey na kisha unapata kiasi cha pesa, pia kuna websites nyingine ukijiunga tu itakulazimu ulipie kias kidogo cha pesa ili iwe activated na kuanza kufanya hizo survey na kujipatia pesa.





mifumo hii humuwezesa mtumiaji kupata pesa kwa njia zifuatazo

1.kushare/kusambaza links kwa marafiki

2.kutazama video zilizopo ndani ya website hiyo

3.kujibu maswali,kutazama matangazo na njia nyinginezo

Je website za aina hiyo zinafanyaje kazi?

Je wamiliki wa website hizo wanapata wapi pesa za kuwagawia watumiaji?

Je mmiliki wa website anafaidika vipi?

1.Tuanze na swali la kwanza (Je website za aina hiyo zinafanyaje kazi?)

katika website za aina hii huwa kuna mzunguko wa pesa, hapa namaanisha kua pesa lazima izunguke na mfumo mfumo uendelee, hapa ni hivi wewe mtumiaji ukijiunga utalazimishwa kulipia kiasi kadhaa ili uweze kuactivate account yako sasa tufanye unalipia 12,000 na baada ya kulipia ndio utaanza kufanya task za katika website hiyo na hivyo basi labda utachukua link yako na kumpa rafiki yako ajiunge na kumbuka ni lazima alipie 12,000 ili aweze kufanya activation ya account yake hivyo basi akijiunga kupitia link uliomtumia basi atahesaika kama refferal wako na akilipia 12000 atakatwa kiasi kadhaa na kitakuja kwako mfano ulikua na 12,000 na baada ya rafiki yako nae kujisajli kupitia link yako akilipia 12,000 atakatwa 2000 na itaingia kwako na wewe utakua na 14,000 na yeye atabakiwa na 10,000 ila kuondoa mkanganyiko system bado itamuonesha kua ana 12,000 lakini background atakua na 10,000 tu, na yeye pia akimualika mtu atapata 2000 toka kwake hivyo katika system yake itaonekana ana 12,000 kama invesment na 2000 kama commision lakini uhalisia atakua na 10,000 kama investment na 2000 kama commision. hivi ndio hii mifumo inavyoendeshwa na utatakiwa kusambaza link kwa marafiki wengi ili na ww uweze kupata commision kubwa mfano umewasambazia watu 100 na wote wakajiunga na kufanya activation basi utakua na 2000x100=2000,000 hivyo basiutakua umetengeneza 200k kwa kusambaza tu link kwa marafiki. 

2. Je wamiliki wa website hizo wanapata wapi pesa za kuwagawia watumiaji?

 katika eneo hili ni kam nilivyoeleza mwanzo kua kuna mzunguko wa pesa ni kua user akijiunga kupitia link ya rafiki yake basi yeye ndio atakatwa kiasi kadhaa cha fedha na kitaenda kwa huyo mtu aliekupa link.

kwa maana hiyo hapa mmiliki hatotoa pesa yake mfukoni na kuwalipa users na pesaa itakua inaendelea kufanya mzunguko na kuzalisha faida 

3.Je mmiliki wa website anafaidika vipi?

Hapa wewe kama mmiliki utafaidika sana na pia utapata faida mara mbili ya user. hapa ni hivi kumbuka user yeyote anaejisajili ni lazima kulipa 12,000 ili kufanya activation na itakatwa 2000 kwa kila user ili kulipa kwa yule aliempa link ya kujiunga na kumbuka itabaki 10,000 na hivyo basi hiyo 10,000 ndio itakua faida yako japo katika system kwa user bado itaendelea kama ana 12,000 lakini katika uhalisia pesa hiyo itakua haipo 10k faida yako na 2000 ni pesa ya referal 
na kwa hesabu za haraka haraka ulipata investors/users 100 utakua na 100x10,000=1,000,000 kwa maana hiyo wewe utakua na faida ya 1M 

ushajiuliza kwa nini pesa ambayo huwa unatumia kuactivate account huwezi kuitoa? nafikiri baada ya kusoma hayo maelezo unaweza ukawa umeelewa ni kua hiyo ndio inakua pesa ya mzunguko na kile unachokua unakiona kimebaki pale kwenye system yako huwa ni botion tu na ndio maana wanawekaga limit ya kuwithdraw unaweza kukuta wanakuambia mpaka ufikishe 200,000 ndio utoe, kwa maana hiyo wewe ukiotoa hiyo 200k hutokua na muda wa kuuliza 12k yako iko wapi.

NB: Leo tumejifunza tu mfumo wa referal/ usambazaji wa link unavyofanya kazi na somo lijalo ntazungumzia jinsi zile site za kuangalia videos, matangazo nk zinavyofanya kazi

kwa maswali usisite kucall 0626653295

pia tunadarasa la mafunzo ya utengenezaji wa proffesional android apps kwa gharama nafuu kabisa ya sh.500 kwa kipindi, piga simu na upewe maelekezo jinsi ya kujiunga au bonyeza katika tangazo la juu kabisa ya blog hii 

Post a Comment

2 Comments