*NB: utapewa email ambayo ndio itakuwezesha wewe kutumia blogu yako
hatua za kufuata.
1. dowanload App ya blogger (panel)
baada ya kudowanload app hyo ifungue na uingize email pamoja na password uliyopewa
2.ingiza email na password
baada ya hapa
3. utabonyeza sehemu iliyoandikwa
New post
Baada ya bonyeza hapo kwenye New post
4. hapo palipoandikwa TiTLE UTAANDIKA KICHWA CHA HABARI UNACHOKITAKA NA HAPO CHINI YAKE UTAANDIKA HABARI UNAYOTAKA KUIPOST PAOMJA PICHA,VIDEO,MUSIC
5.baada ya kuandika habari utabonyeza mahali palipoandikwa PUBLISH na habari yako tayari itaweza kuonekana online.
0 Comments